Habari Mpya :
Home » , » KAMPUNI YA GONEX YAZINDULIWA KUWASAIDIA VIJANA KUPATIA AJILA

KAMPUNI YA GONEX YAZINDULIWA KUWASAIDIA VIJANA KUPATIA AJILA

Imeandikwa na Henry Mdimu on Saturday, June 22, 2013 | 15:17


Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya Gonex, Geoffrey Ettuttu, (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari- MAELEZO leo kuhusu uzinduzi wa kampuni hiyo. Kampuni hiyo itakuwa inawaendeleza vijana ili waweze kujipatia ajira katika sekta mbalimbali, wengine ni baadhi ya wabia  katika kampuni hiyo.
Naibu Katibu wa Chama cha Albino Tanzania,Wilaya ya Temeke, Maria Byabato.( wa pili kutoka  kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu tuzo maalum ya soka, wa pili (kulia ) ni  Mwenyekiti wa chama hicho,  Kassimu  Kibwe.   Kutoka kushoto wa kwanza ni Afisa Mipango wa chama hicho,  Cathew Lwali, kulia wa kwanza  ni Mweka Hazina wa chama, Said  Ndonge.   PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

 
BLOG DESIGNERS : Bongoclan Blog Besigners | Anga Designers | Call us 0752184797
Copyright © 2011. Mdimu's Blog - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Blogger